Loading...
PICHA: CRISTIANO RONALDO AKIWA ANAPAKWA MAFUTA NA MAMA YAKE MZAZI

PICHA: CRISTIANO RONALDO AKIWA ANAPAKWA MAFUTA NA MAMA YAKE MZAZI

0
0713_cristiano_ronaldo_yacht_oil_massage_mom_fameflynet_sub
Cristiano Ronaldo moja kati ya wachezaji  soka Ghali zaidi duniani ameonekana akiwa anapakwa mafuta na mama yake mzazi pande za  kisiwa cha Ibiza Spain Ambacho kipo ndani ya bahari ya Mediterrania  nchini Hispania.
Kisiwa cha Ibiza
Mama yake na Ronaldo alionekana akimpaka star huyo wa soka mafuta hasa kwenye mguu ambao uliumia wakati wa Euro nchini Ufaransa. kama inavyoonekana katika picha hapa chini.0713_LAUNCH-cristiano_ronaldo_yacht_oil_massage_mom_INF

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY