Loading...
PICHA INAYOMUONYESHA KOCHA MPYA WA SIMBA AKIWA AMEWASILI TANZANIA IKO HAPA

PICHA INAYOMUONYESHA KOCHA MPYA WA SIMBA AKIWA AMEWASILI TANZANIA IKO HAPA

0

Timu ya soka ya Simba Licha ya kutoweka wazi juu ya kocha wao mpya, jana kwenye vyombo tofauti  ilithibitika kuwa sasa Omong aliyekuwa kocha wa Azam kabla ya kufungashiwa virago ndiye atakuwa kocha mpya.

Hii ni picha inayoonyesha akiwa amewasili uwanja wa Ndege Mjini Dar Es Salaam.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY