Loading...
PICHA: kampuni ya viatu ya vans wanakuja na toleo kwa ajili ya...

PICHA: kampuni ya viatu ya vans wanakuja na toleo kwa ajili ya wachezaji wa Baseball

0

Vans
Vans wamekuwa moja ya kampuni inayofanya poa kwa aina ya viatu vyake, sasa wanampango wa kuja na toleo ambalo watatoa viatu ambayo vitatumika wakati wa fainali ya nyota, Allstar Games.

Vans watashirikiana na Major League Baseball ambao ndiyo waandaji wa mashindano hayo, wanatarajiwa pia kushirikiana kuleta tshirts kali

Vans

Vans

Vans

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY