PICHA: STEPHEN CURRY AKILA BATA KWENYE MAJI NA MKEWE

PICHA: STEPHEN CURRY AKILA BATA KWENYE MAJI NA MKEWE

0

Mcheza kikapu, MVP mara mbili mfululizo ( Back To Back MVP) Stephen Curry anatumia muda wake wa mapumziko kula bata na Familia yake pande za HAWAII kwenye kisiwa kidogo cha MAUI.
Stephen Curry and Ayesha Curry arrive at the Super Bowl 50 Rolling Stone Party at The Galleria at the San Francisco Design Center on Saturday, Feb. 6, 2016, in San Francisco. (Photo by Omar Vega/Invision/AP)
 Curry ambaye alipoteza Ubingwa wa NBA akiwa na Golden State Warriors dhidi ya Cavaliers amekuwa akila bata kisiwani hapo akiwa na mkewe Ayesha na watoto wake wawili wa kike.
0713_steph_curry_jet_ski_launch

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY