Loading...
PICHA YA BINTI ANAYESEMEKANA KUWA NDIYE MTOTO WA KWANZA WA ZARI,JAPO YEYE...

PICHA YA BINTI ANAYESEMEKANA KUWA NDIYE MTOTO WA KWANZA WA ZARI,JAPO YEYE ANASEMA NI MDOGO WAKE

0
Kumekuwa na story nyingi sana juu ya picha ya Zari inayoonyesha Zari akiwa na Binti mmoja huku Zari akisema ni mdogo wake wakati huo huo wengine wakisema ni mwanaye wa kwanza wa kike anayeitwa  Zuleha. Nashindwa kuelewa tumwamini yupi kati ya Zari na hayo maneno ya watu, ila waswahili wanasema lisemwalo lipo kama halipo linajongea.
Zari akiwa na binti anayesemekana kuwa ni mwanaye

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY