PORTUGAL VS WALES (FAHAMU HISTORIA TIMU HIZI ZILIPOKUTANA,NA DONDOO MUHIMU KUELEKEA MECHI...

PORTUGAL VS WALES (FAHAMU HISTORIA TIMU HIZI ZILIPOKUTANA,NA DONDOO MUHIMU KUELEKEA MECHI HII)

0

Wales Na Portugal wameshakutana mara tatu (3)

Portugal Kashinda mara mbili (2)
Wales Kashinda mara moja (1)
Portugal na Wales hawajawahi kukutana katika mashindano yoyote yale zaidi ya mechi za kirafiki.
Mechi ya Leo inakutanisha wachezaji wawili wanaotokea timu moja ya Real Madrid yani Christian Ronaldo na Bale, ambao watu wengi wanategemea kushuhudia leo wakitegemewa kuokoa majahazi ya mataifa yao.
Aliyewahi kuwa kocha wa Real Madrid  Ancelotte amesema Bale na Ronaldo huwa wanashindana hata wakiwa mazoezini, kwahiyo leo watu wategemee ushindani mkubwa.
Portugal Wanajivunia record ya kipa wao Rui Patricio  kwani katika mechi kumi na mbili za mashindano hakuna mechi aliyokuwa langoni walishindwa.

Date Match Result Score Competition
15 May 1949 Portugal v Wales L 3-2 International Friendly
12 May 1951 Wales v Portugal W 2-1 International Friendly
02 Jun 2000 Portugal v Wales L 3-0 International Friendly

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY