Loading...
Q CHIEF NI KWELI ATAJIUNGA WCB? FAHAMU UKWELI

Q CHIEF NI KWELI ATAJIUNGA WCB? FAHAMU UKWELI

0

Msanii Q Chief amekuwa akihusishwa na kujiunga WCB WASAFI, sasa leo kupitia Amplifaya ya Clouds Fm amesema vitu ambavyo ni wazi yuko tayari kujiunga na WCB kama kweli watakuwa tayari kufanya naye biashara.

Katika Mazungumzo aliyokuwa anayaongea Q CHIEF ni wazi haridhiki na management yake ya sasa huku akilaumu zaidi kuhusu kucheleweshewa Kufanyiwa video za ngoma zake na Management yake hiyo ya sasa.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY