Loading...
RAIA WEUSI NAO WAUA POLISI MAREKANI

RAIA WEUSI NAO WAUA POLISI MAREKANI

0

Polisi wanne (4) wameripotiwa kuuawa huko Dallas nchini Marekani, huku polisi saba (7) wakijeruhiwa mara baada ya watu kuwashambulia polisi hao.
Polisi hao walikuwa wakilinda waandamanaji kabla ya tukio hilo kutokea.

Kumekuwa na mauaji ya hapa na pale huku yakihusisha polisi weupe kuwaua watu weusi wa Marekani hali ambayo imewafanya watu weusi kuona wanabaguliwa na waanauliwa bila sababu hali iliyowafanya na wao kulipiza kwa kuua polisi,

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY