DEMO
ROMA MKATOLIKI JUMATANO HII ANAKULETEA KITU KIPYA

ROMA MKATOLIKI JUMATANO HII ANAKULETEA KITU KIPYA

0

Roma mkatoliki  ametoa Teaser au Kipande cha Video ya wimbo wake mpya ambayo inaonekana kwa sekunde kadhaa ila Humo ndani atakuwa na Darassa pamoja na Jose Mtambo, huku akiwa kafanya Tongwe Records.
Director ya video hiyo ni Nick Dizzo, Kaa tayari  kwa ngoma hiyo mpya kutoka kwa Roma Mkatoliki.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY