Loading...
SHAA NAYE ANAKUJA NA LABEL YAKE YA WASANII

SHAA NAYE ANAKUJA NA LABEL YAKE YA WASANII

0

MSANII Shaa ametangaza Rasmi kuwa kwasasa naye anakuja na label yake ya wasanii, Na ameeleza kuwa tayari ashaanza kupata wasanii ambao atawasimamia, Ametaja mmoja ya wasanii hao ametokea katika mkoa wa Tanga. LABEL yake hiyo itaitwa SK music yani Sarah Kaisi Music.

All The Best Shaa, msanii ambaye nathubutu kusema ni mpambanaji haswa kwenye muziki huu wa Tanzania na amekuwa mmoja kati ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri kila watoapo kazi zao mpya. Na nafikiri anakuwa msanii wa kike wa Kwanza kuwa na LABEL YAKE YA WASANII.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY