SHABIKI WA MANCHESTER UNITED UKISOMA HAPA LAZIMA UFURAHI KUHUSU ZLATAN IBRAHIMOVIC

SHABIKI WA MANCHESTER UNITED UKISOMA HAPA LAZIMA UFURAHI KUHUSU ZLATAN IBRAHIMOVIC

0

Baada ya Manchester United Kumsajili Zlatan Ibrahimovic,  Basi kama ulikuwa hujui toka mwaka 2001 Ibrahimovic  Kwa timu zote ambazo amekuwa akihamia Walipata Ubingwa kwenye msimu wa KWANZA.

Ajax
Juventus
Inter Milan
Barcelona
Ac Milan
PSG
Manchester United itakuaje?????

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY