DEMO
SHILOLE AMSAINISHA MSANII HUYU KWENYE RECORD LABEL YAKE

SHILOLE AMSAINISHA MSANII HUYU KWENYE RECORD LABEL YAKE

0

Akizungumza kupitia XXL ya Clouds Fm Shilole amesema Label yake inaitwa Bad Girl Shishi Entertainment,  ambapo amesema amemsainisha msanii anayekwenda kwa jina la Gaucho , Ila Gaucho alipoulizwa kuhusu Mkataba wake na Label hiyo ya Shilole alisema Mkataba wao hauko rasmi yani  mkataba sio Rasmi.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY