Loading...
SHILOLE ASEMA HAWEZI KUTOA KICK KIZEMBE

SHILOLE ASEMA HAWEZI KUTOA KICK KIZEMBE

0

Shilole ameendelea kutotaka kumjibu chochote video vixen wa kwenye wimbo wa NUH MZIWANDA unaoitwa jike shupa,  Shilole ameendelea kusema yeye ni Star na ametumia miaka 5 kutengeneza Brand yake.

So hawezi kuanza kumpa kick msichana huyo ambaye amekuwa akimchokonoa sana kwenye mitandao ya kijamii, Shilole kaongea hayo akiwa kwenye kipindi cha Ala ZA ROHO cha Clouds Fm.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY