” SIKU HIZI NAFANYA SHOW MPAKA ZA KUITWA NA FAMILIA ” –...

” SIKU HIZI NAFANYA SHOW MPAKA ZA KUITWA NA FAMILIA ” – LINEX

0

Msanii Linex Sunday Mjeda amefunguka kuwa siku hizi anafanya show mpaka za Familia, yani anaitwa na familia kwaajili ya kuwaburudisha.

Akiongea kupitia ladha 3600 ya Efm, Linex amesema anamuda mrefu toka amefanya zile show za Club na amekuwa akifanya show special za aina hiyo kama hizo za familia, show za makampuni fulani kwani ndizo zimekuwa zikimpa mkwanja mrefu.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY