SIMBA YAKUBALI KICHAPO KIKALI MKOANI MOROGORO WAKATI IKIJIANDAA NA LIGI KUU

SIMBA YAKUBALI KICHAPO KIKALI MKOANI MOROGORO WAKATI IKIJIANDAA NA LIGI KUU

0

Simba yakubali kichapo cha bao Tatu kutoka timu ya Burkinafaso ya Mkoani Morogoro,  Simba imekubali kipigo cha bao tatu kwa bila kutoka kwa watoto hao wa Morogoro.

Magoli ya Burkinafaso yamefungwa na Julius Kipeto dakika ya 46, Shabani Kapilima dakika ya 66 na Julius kipeto tena dakika ya 87.

Taarifa na Mussa Mwamba.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY