TAARIFA ZA MANCHESTER UNITED KUMHUSU PAUL POGBA

TAARIFA ZA MANCHESTER UNITED KUMHUSU PAUL POGBA

0

Kupitia mtandao wa Espn umeandika kuwa Kwasasa Manchester United imetuma wawakilishi wake kwenda Italia kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Juventus ili kukamilisha Usajili wa Kihistoria ambao unaweza ukavunja Record ya Dunia.

Imeandikwa kuwa Makamu mwenyekiti wa Club hiyo Ed Woodward hajasafiri na timu kwenda China kwa ajili ya maandalizi ya msimu, na inadaiwa sababu za kutoungana kwake na timu huko Uchina ni zoezi la kuhakikisha Pogba anasaini Manchester United.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY