DEMO
TAARIFA ZA USAJILI LEO JULY 1 NA DONDOO MBALIMBALI MECHI YA EURO...

TAARIFA ZA USAJILI LEO JULY 1 NA DONDOO MBALIMBALI MECHI YA EURO YA LEO

0

Manchester City 
Imefaniukiwa kumsajili mchezaji Nolito kwa mkataba wa miaka minne, ambapo atadumu Mancity mpaka mwaka 2020.

Crystal Palace 
Imemsajili mchezaji tokea timu ya Newcaastle Andros Townsend


Watford 
Timu ya soka ya Watford ya nchini uingereza imefanikiwa kumsajili Christian Kabasele.


Newcastle
 Timu ya Newcastle imefanikiwa kumsajili mchezaji dwight   gayle

Juventus
Club ya soka toka nchini  Italy inatajwa kuwa karibu kumsaini Mehdi Benatia tokea club ya Bayern Muniche

EUFA – EURO
Leo kutakuwa na mechi moja itakayoanza mida ya saa nne kamili usiku kwa saa za afrika mashariki.

KATIKA MECHI 12 AMBAZO WAMEWAHI KUKUTANA (BELGIUM NA WALES)
Timu ya Wales  imeshinda mechi nne (4)
Timu ya Belgium  imeshinda mechi tano (5)
Wametoka sare mara  tatu (3)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY