Loading...
TAARIFA ZA USAJILI MANCHESTER CITY

TAARIFA ZA USAJILI MANCHESTER CITY

0

Timu ya Man City inahusishwa kuwa katika mazungumzo na wakala wa mchezaji Bonnucci ambaye anakipiga katika timu ya Juventus.
Leonardo Bonucci
Habari zinasema kuwa wakala wa mchezaji huyo tayari yupo Uingereza ili kuangalia kama wanaweza wakakamilisha usajili huo.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY