TEGETE APIGWA CHINI TOTO AFRICA, HUYU NDIYE MRITHI WAKE

TEGETE APIGWA CHINI TOTO AFRICA, HUYU NDIYE MRITHI WAKE

0

Timu ya Toto Africa Imemtangaza wazi kocha wao mkuu kuwa ni Rogasian Kaijage, huku Ikikataa kuweka wazi juu ya mustakabali wa TOTO AFRICA,  Huku moja kati ya kiongozi wa timu hiyo akisema kuwa Tegete hakuwa kocha mkuu wa timu hiyo.


Ikumbukwe wakati msimu wa ligi unakaribia kuisha Tegete aliwahi kuwashtumu viongozi wa TOTO kuwa wanafungwa kwasababu wachezaji wa  TOTO AFRICA hawali, akimaanisha hawakuwa wakilipwa.

Kauli hiyo iliwafanya viongozi wa timu hiyo kuchukia na kuahidi kumshughulikia kocha huyo mwenye mbwembwe nyingi mara ashindapo na hata anapofungwa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY