Loading...
TETESI: HUENDA JUAN MATA AKAONDOKA MANCHESTER UNITED NA KUELEKEA CLUB HII.

TETESI: HUENDA JUAN MATA AKAONDOKA MANCHESTER UNITED NA KUELEKEA CLUB HII.

0
Juan Mata Huenda akatimkia Timu ya Everton, Kupitia mtandao wa Espn umeandika huenda Juan Mata akatimkia Everton kuungana na Kocha wake wa Zamani walipokuwa Club ya Valencia  Ronald Koeman.
Toka Amewasili Jose Mourinho Manchester United kumekuwa na tetesi za Mata Kuondoka kwani Ikumbukwe Mata wakati yupo Chelsea Aliuzwa na Mourinho hivyo Mata haoni haja ya kufanya kazi na Kocha ambaye hamwamini.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY