TETESI ZA USAJILI : BAADA YA KUMKOSA JAMY VARDY, ARSENAL HUENDA IKAMKOSA...

TETESI ZA USAJILI : BAADA YA KUMKOSA JAMY VARDY, ARSENAL HUENDA IKAMKOSA NA HUYU

0

Timu ya soka ya Nchini England Arsenal huenda ikamkosa tena mchezaji Gonzalo Higuain mara baada ya deal ya Jamie  Vardy  nayo kuota mbawa mwanzoni mwa msimu huu wa kiangazi. Vyombo vingi vya nchini Italia vimeandika kuwa Higuain huenda akasajiliwa na Juventus kwa Euro 78 millions.

Gonzalo Higuain alifunga magoli 36 msimu uliopita akiichezea Napoli ya Italia, Na Anatarajiwa kufanya mkataba wa miaka minne akiwa kama Mchezaji wa Juventus.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY