DEMO
TETESI ZA USAJILI: JAMES RODRIGUEZ WA MADRID HUENDA AKAENDA CLUB HII YA...

TETESI ZA USAJILI: JAMES RODRIGUEZ WA MADRID HUENDA AKAENDA CLUB HII YA UINGEREZA

0

Kiungo mshambuliaji wa Timu ya Real Madrid huenda akasajiliwa na timu ya West Ham ya nchini Uingereza, kupitia Bbc sports ya nchini Uingereza wamesema Mchezaji huyo huenda akasajiliwa kwa Euro 67 millions ili kwenda Westham.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY