Loading...
TETESI ZA USAJILI LEO JULY 23: KUHUSU ARSENAL NA JUVENTUS (RIYAD...

TETESI ZA USAJILI LEO JULY 23: KUHUSU ARSENAL NA JUVENTUS (RIYAD MAHREZ, GONZALO HIGUAIN)

0

JUVENTUS NA GONZALO HIGUAIN

Mchezaji Gonzalo Higuain Anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka minne katika club kutoka nchi ya Italy timu ya Juventus, Juventus wametoa kiasi cha Pound million 79 kama pesa ya kumsjili Mu argentina huyu.

ARSENAL NA RIYAD MAHREZ 
Timu ya Arsenal iko katika mazungumzo na Leicester City ili kumnyaka mchezaji Riyad Mahrez na bado haijafahamika arsenal na Leicester wamekubaliana bei gani ili kukamilisha usajili huo
Photo published for Leicester City attacker Riyad Mahrez 'agrees to sign for Arsenal' in £41m move

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY