DEMO
TETESI ZA USAJILI LEO JULY 13

TETESI ZA USAJILI LEO JULY 13

0

KLOPP
Kocha wa Liverpool  amesema Mchezaji Mario Balotel hana nafasi katika kikosi chake cha Liverpool.

MOURINHO 
Kocha Jose Mourinho amekiri kutaka kumsajili mchezaji Cesc Fabrigas Mchezaji wake wa zamani wakati akifundisha Chelsea.

BARCELONA
Timu ya soka ya Barcelona Kutoka Hispania kumsaini mchezaji kutoka PSG anayejulikana kama Lucas Digne,  kwa Dau la Euro Million 16.5 kwa mkataba wa miaka 5.

WOLFBURG
Timu ya Wolfburg tokea Ujerumani inalenga kumsajili mchezaji wa Juventus Zaza.

MARTIN SKRITEL
aliyekuwa mchezaji wa Liverpool Martin Skritel amekamilisha vipimo vya afya tayari kwa kujiunga na club ya Fenerbahce ya Uturuki.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY