TETESI ZA USAJILI LEO JULY 30 KAMA ILIVYOANDIKWANA MAGAZETI MBALIMBALI UINGEREZA

TETESI ZA USAJILI LEO JULY 30 KAMA ILIVYOANDIKWANA MAGAZETI MBALIMBALI UINGEREZA

0
Transfer rumours and paper review – Saturday, July 30
Timu ya Arsenal ya nchini England inampango wa kuwapiku Westham katika harakati za  kumsajili Striker toka Timu ya Lyon ya Ufaransa Alexandre Lacazette kwa kuboresha ada ya Uhamisho mpaka pound 35 m, baada ya pound 29.3 m kukataliwa na Lyon.(Daily Telegraph)
Arsenal pia inatajwa kufanya uhamisho wa mchezaji Bruno Peres toka Torino kwa ada ya uhamisho ya Pound 16.9 m (Gazzeta world)
Chelsea wamewekewa ngumu na Everton kumsajili Romelu Lukaku mara baada ya kuatangaza dau la pound 57 m, wakati Everton wanataka pound 75 m.(Daily Mirror)
Leicester City inampango wa kumuongezea mshahara Mahrez mpaka pound 100,000 kwa wiki ili kumaliza kabisa ndoto za Arsenal kumsajili (Daily Express)
Manchester United inampango wa kumalizia Usajili wake kwa kumsajili Mbrazili Fabinho ambaye anakipiga MONACO. (globoesporte)
Arsenal pia Iko katika mazungumzo na Mchezaji wa Valencia ili kumsajili Mustafi (skysports)
TalkSports

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY