TETESI ZA USAJILI LEO JULY 31

TETESI ZA USAJILI LEO JULY 31

0

Transfer rumours and paper review – Sunday, July 31: Arsene Wenger to move for former Manchester United defender? Romelu Lukaku latest and MORE
Boss wa Chelsea Antonio Conte yuko tayari kuvunja kibubu na kuongeza kiwango cha pesa mpaka pound million 60 ili kumsajili Romelu Lukaku mara baada ya Everton kukataa pound million 57.
Lukaku ameshawaambia marafiki zake kuwa yuko tayari kurudi Stanford Bridge ( Sunday Express)

Arsenal ina mipango ya kumsajili mchezaji wa zamani wa Manchester United Jonny Evans kwa usajili wa pound million 15.(Sunday Mirror)

Arsenal inampango wa kumsajili mshambuliaji wa Inter Milan Mauro Icardi kwa pound million 50 kama watafeli kumsajili mchezaji toka Lyon Alexandre Lacazette (Daily Star)

Adnan Janujaz ambaye ameambiwa yuko free kusepa Manchester United basi Janujaz anampango wa kuondoka moja kwa moja Manchester United na sio kusajiliwa kwa mkopo tena.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY