TETESI ZA USAJILI :MANCHESTER CITY YAKUBALI KUMSAINI KIPA HUYU

TETESI ZA USAJILI :MANCHESTER CITY YAKUBALI KUMSAINI KIPA HUYU

0

Manchester City have agreed the £4million signing of Argentina goalkeeper Geronimo Rulli
Timu ya Manchester City imekubali kumsainisha kipa wa timu ya Taifa ya Argentin Geronimo Rulli kwa Euro 4 millions.
Kipa huyo mwenye miaka 24 atajiunga na Manchester City akitokea Deportivo Maldonaldo, Rulli alikuwa akikipiga  mkopo katika club ya Real Sociedad  kwa misimu miwili.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY