Loading...
TETESI ZA USAJILI: MANCHESTER UNITED INA MPANGO WA KUMSAJILI MCHEZAJI HUYU TOKA...

TETESI ZA USAJILI: MANCHESTER UNITED INA MPANGO WA KUMSAJILI MCHEZAJI HUYU TOKA MONACO

0

Timu ya Manchester United ya nchini England inatajwa Kutenga kiasi cha Euro 25 million ili kumsajili mchezaji kutoka Club ya Monaco ya Ufaransa anayeitwa Fabinho ambaye ni raia wa Brazil.
Imeandikwa katika Gazeti la Daily Maily la nchini Uingereza.
Monaco's Brazilian defender Fabinho celebrates after scoring against Paris Saint-Germain in March
Fabinho mwenye miaka 22 anacheza kama mlinzi wa Kulia, na ameshachezea Real Madrid B, amechezea pia Real Madrid kwa mkopo, kabla ya kujiunga na Monaco ya Ufaransa.
Fabinho hits a shot at goal while playing for Monaco against Stade de Reims at Louis II Stadium on March 11

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY