TETESI ZA USAJILI : MESSI AHUSISHWA KUONDOKA BARCELONA NA KWENDA CLUB HII...

TETESI ZA USAJILI : MESSI AHUSISHWA KUONDOKA BARCELONA NA KWENDA CLUB HII YA UINGEREZA

0

Lionel Messi
Mchezaji wa Timu ya Barcelona Lionel Messi anahusishwa kuhama Barcelona na kuhamia katika Club ya Chelsea, Gazeti la The Sun la Uingereza limeandika kuwa Mmiliki wa CHELSEA Roman Abramovic ametajwa kuwa akiwa katika mazungumzo na baba mzazi wa mchezaji huyu Mr Jorge Messi ili kumshawishi mwanaye akubali deal ya kwenda Chelsea.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY