Loading...
THAMANI YA HELENI ZA DHAHABU ZA AMBER ROSE KIBOKO, SOMA ZAIDI HAPA

THAMANI YA HELENI ZA DHAHABU ZA AMBER ROSE KIBOKO, SOMA ZAIDI HAPA

0

Amber amekuwa moja kati ya Mastaa toka Maandishi matatu USA ambaye amekuwa aki kick sana kwa habari zake mbalimbali, Leo kupitia mtandao wa TMZ imeripotiwa Amber Rose amenunua Heleni za Dhahabu zenye Thamani ya US DOLLAR 20,000 sawa na  shilingi za kitanzania zaidi ya milioni 40.
063016-amber-rose-earrings-tmz

Amber Rose Amenunua Heleni hizo toka kwa muuzaji mmoja anayeitwa Eric Jeweler  ambaye pia amekuwa akiwauzia bidhaa zake mastaa wengine kama Snoop Dogg, Chriss Brown na French Montana..

Kibongo bongo vipi Mastaa wetu wanaweza kutoboka kwa kununua Heleni zenye thamani ya milioni 40?

Acha Comment yako, Share Pia kwenye mitandao ya Kijamii habari hii

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY