Loading...
TIMU YA SAMATTA KRC GENK YAFUZU HATUA INAYOFUATA

TIMU YA SAMATTA KRC GENK YAFUZU HATUA INAYOFUATA

0


Timu ya Samatta KRC GENK imefuzu hatua inayofuata mara baada ya kushinda katika mechi yao ya jana, GENK illikubali kichapo cha Goli 2 kwa 0 na kufanya matokeo kuwa 2 kwa 2 na kusababisha kuingia kwenye muda nyongeza nao matokeo yakabaki hayo hayo.

Katika mikwaju ya penalty Genk walipata 4 huku wapinzani wao wakipata penalty 2, Samatta alifunga Penalty ya tau  na hivyo GENK wakawa wameshinda.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY