USAIN BOLT AFANYA KWELI DIAMOND LEAGUE LONDON

USAIN BOLT AFANYA KWELI DIAMOND LEAGUE LONDON

0
Usain Bolt mwanariadha huyu kutoka nchini Jamaica ameshinda Kwenye mbio za mita 200 mara baada ya kuibuka kama mshindi wa kwanza katika michuano hiyo inayojulikana Kama Diamond League iliyofanyika nchini Uingereza katika mji wa London.
Bolt ambaye anaaminika kuwa mwanariadha mwenye kasi zaidi duniani, ameshinda akitumia sekunde 19.89 huku aliyemfuata akitumia sekunde 20.04

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY