USAJILI: MBEYA CITY YAMSAJILI MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA

USAJILI: MBEYA CITY YAMSAJILI MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA

0

Timu ya Mbeya City inayotokea katika jiji la Mbeya Imefanikiwa kumsajili mchezaji aliyekuwa akikipiga katika club ya Yanga Rajab Zahir . Haijafahamika moja kwa moja kuwa Amesainiwa kwa mkataba wa miaka mingapi.

Mbeya City kwa sasa wako katika maandalizi ya msimu mpya huku ikiwa imeweka kambi nje kidogo ya jiji la mbeya katika wilaya ya Kyela huku ikitarajia kuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Mtibwa Sugar utakaochezwa mkoa wa Morogoro

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY