UTATA MKATABA MPYA WA BARAKA DA PRINCE NA ROCKSTAR 2000,MENEJA WA SASA...

UTATA MKATABA MPYA WA BARAKA DA PRINCE NA ROCKSTAR 2000,MENEJA WA SASA WA BARAKA HANA TAARIFA

0

Msanii Baraka amesaini mkataba na kampuni ya RockStar2000 ambayo inasimamia kazi za Lady Jaydee, Ila taarifa za meneja wake Mkalla Akiongea kupitia PLANET BONGO ya East Africa Radio  anadai kuwa bado  hana taarifa kuhusu Baraka kusaini mkataba huo.

na hakuna makubaliano  ambayo walikuwa wameyafikia kati ya Meneja wake huyo na hiyo kampuni ya RockStar 2000. hivyo meneja mkala anashangaa kuona taarifa hiyo ikiwa imezagaa kwenye mitandao ya kijamii.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY