DEMO
VITU VITATU VILIVYOPIGWA MARUFUKU DAR, UPO USHOGA PIA

VITU VITATU VILIVYOPIGWA MARUFUKU DAR, UPO USHOGA PIA

0
Insta-image-2

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepiga marufuku vitu vitatu kutoonekana katika mkoa wa Dar es Salaam.
Akizungumza kwenye kongamano la Dini lililofanyika katika uwanja wa Taifa alisema..’Kwanza kwa watumiaji wa biashara ya Sheesha katika maeneo ya Bar, Clubs na sehemu zingine kuanzia leo ni marufuku katika maeneo hayo’- Paul Makonda
Pili ni marufuku kwa wavutaji wa Sigara kwenye sehemu za wazi kwani wataalamu wanasema ule moshi unamuathiri yule asiyetumia hiyo Sigara kuliko yule anayetumia Sigara’– Paul Makonda
Tatu ni marufuku kwa ushoga kwenye mkoa wangu wa Dar es Salaam na mashoga wote walio kwenye instagram na Facebook watakamatwa na wale wote wanao wa follow mashoga kwenye mitandao ya kijamii basi watakuwa na hatia ile kama ya mashoga‘-Paul Makonda 

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY