WACHEZAJI WATANO WALIOUNGANA KWENYE KAMBI YA CHELSEA LEO HAWA HAPA

WACHEZAJI WATANO WALIOUNGANA KWENYE KAMBI YA CHELSEA LEO HAWA HAPA

0

Chelsea imekuwa kambini nchini Austria ambapo katika mechi ya kwanza Chelsea ilichezea kichapo cha Goli Mbili kwa bila. Jumatano hii Chelsea itashuka tena kucheza mechi ya Kirafiki na RZ PELLETS.
Wachezaji watano wanaotajwa kujiunga na Club hiyo leo ni

1.Cesc Fabregas
2.Gary Cahill
3. Cesar Azpilicueta
4.Pedro  &
5.Juan Cuadrado

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY