Loading...
WAFAHAMU WASANII WAWILI WALIOPATA SHAVU LA KUTUMBUIZA(PERFORM) IKULU YA MAREKANI, YUMO RAPPER...

WAFAHAMU WASANII WAWILI WALIOPATA SHAVU LA KUTUMBUIZA(PERFORM) IKULU YA MAREKANI, YUMO RAPPER MKALI

0

Tarehe nne (4)  ya kila mwaka Marekani huwa wanasherehekea maadhimisho ya  sikukuu ya Uhuru, kama ilivyo kwa Tanzania tarehe 9/12 ya kila mwaka.

Basi pande za Marekani sherehe za mwaka huu Janelle Monae na Rapper Kendrick Lamar wamekula shavu la Kutumbuiza (Perform) ikulu ya Marekani (White House) wakati ambao Familia ya Obama na Familia za Wanajeshi wa Marekani watakuwa kwa pamoja wakipata chakula cha pamoja sambamba na burudani mbalimbali.

Ikumbukwe Obama amewahi kukiri kupenda mashairi ya Rapper KENDRICK LAMAR mpaka akafikia hatua ya kumkaribisha IKULU.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY