WAKA FLOCKA AOMBA MSAMAHA BAADA YA KUM CHEAT MKEWE

WAKA FLOCKA AOMBA MSAMAHA BAADA YA KUM CHEAT MKEWE

0

waka-flocka-flame-tammy-rivera
 Rapper Waka Flocka Amejikuta akimuomba mkewe msamaha kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter baada ya kumcheat, Rapper huyo ameomba msamaha kwa mkewe na familia kiujumla huku akionekana kujutia kitendo hiko, huku akionekana kulaumu baadhi ya kampani zake kuwa mbovu

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY