DEMO
WAKATI YANGA IKICHAPIKA GHANA, SIMBA YAUA MOROGORO

WAKATI YANGA IKICHAPIKA GHANA, SIMBA YAUA MOROGORO

0

Wakati Yanga ikifungwa kwa jumla ya Goli tatu kwa moja nchini Ghana, Timu ya Simba Imeshinda jumla ya Goli Sita kwa bila ( 6 – 0 ) ilipocheza katika mechi ya kirafiki dhidi ya Polisi Morogoro katika uwanja wa Highlands mjini Morogoro.

Magoli ya Simba yamefungwa na Fredrick Blagtnon, ajib mawili, Mohamed Mussa Kijiko na Banda. 

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY