Loading...
“WATAKAOLETA VURUGU MIMI NITAWASHUGHULIKIA KIKAMILIFU BILA HURUMA” – RAIS MAGUFULI

“WATAKAOLETA VURUGU MIMI NITAWASHUGHULIKIA KIKAMILIFU BILA HURUMA” – RAIS MAGUFULI

0


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh John Pombe MAGUFULI amesisitiza kuwa yeye yuko tofauti na huwa hajaribiwi wakati akihutubia wananchi alipokuwa ziarani mkoani Singida.

Rais alisema “WATAKAOLETA VURUGU MIMI NITAWASHUGHULIKIA KIKAMILIFU BILA HURUMA”   alisema pia ” mimi sijaribiwi na kamwe sitajaribiwa. “

Siku chache zilizopita chama cha CHADEMA kilitangaza kufanya MAANDAMANO ya nchi nzima kwenye Operation iliyojulikana kama UKUTA mnamo september mosi mwaka huu

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY