Loading...
WEMA SEPETU KAMALIZA BEEF NA KAJALA

WEMA SEPETU KAMALIZA BEEF NA KAJALA

0
Inawezekana ile beef iliyokuwa ya moto kati ya Wema na Kajala ikawa imeshakwisha mara baada Wema kumpongeza KAJALA katika siku yake ya kuzaliwa kupitia mtandao wake wa Snapchat, Ambapo Wema aliweka Caption ya Happy Birthday Mama Paula.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY