Loading...
ALICHOKISEMA WEMA SEPETU BAADA YA DIAMOND PLATNUMZ KUPOST COVER YA KUMSAPOTI

ALICHOKISEMA WEMA SEPETU BAADA YA DIAMOND PLATNUMZ KUPOST COVER YA KUMSAPOTI

0
Wiki kadhaa zilizopita Diamond Platnumz licha ya kupostiwa picha  na WEMA iliyokuwa ikimuombea kura za BET diamond hakujibu chochote wala Kuonyesha Kujibu chochote.
Basi hali hii ilizua maswali mengi sana, huku baadhi ya watu wakipongeza jambo hilo ila wengine pia wakidiss kama kawa, si unajua mambo ya Insta?
Basi Diamond Platnumz amelipiza Kwa Kupost Cover ambayo Wema pia atakuwa ni mmoja kati ya wahusika wa show hiyo inayokwenda kwa jina la BlackTie , kupitia mtandao wake wa Instagram Diamond aliandika maneno haya katika picha.

Wema akiongea kupitia ALA ZA ROHO amesema amefarijika sana kuona suala hilo hasa ukizingatia anajua ambavyo Diamond huwa anapenda kulipizia, huku akiamini kuwa kwasasa wanaweza wakaa meza moja na kuzungumza. WEMA alionyesha kufurahia sana kitendo hiko cha mpenzi wake huyo wa zamani  kumsapoti.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY