DEMO
Y TONNY HITMAKER WA “MASEBENE” ATOA SABABU ZA KUKAA KIMYA MUDA MREFU

Y TONNY HITMAKER WA “MASEBENE” ATOA SABABU ZA KUKAA KIMYA MUDA MREFU

0

Msanii Y Tony ambaye aliwahi kutamba na ngoma zake kadhaa kama Masebene na Mama Wa Kambo ambayo alimshirikisha Barnaba Boy Ameeleza sababu ya yeye kuwa kimya kwa muda kidogo,

Akiongea Kupitia FNL ya East Africa Tv amesema sababu kubwa ilikuwa ni kumuuguza mama yake mzazi, ila kwasasa amerudi upya na ameahidi mambo mengi mazuri yanakuja.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY