Loading...
YA BARAKA DA PRINCE NA KAOGE YAFIKIA HAPA

YA BARAKA DA PRINCE NA KAOGE YAFIKIA HAPA

0
Siku kadhaa zilizopita Mtu anayejulikana Kama Kaoge, ambaye amewahi kujitangaza wazi kuwa yeye ni Shoga Aliandika ujumbe Instagram akionyesha kama Baraka amemtapeli kitu walichokubaliana kulipana kama ujumbe unavyojionesha hapa.

Ujumbe huu ni wazi ulionyesha kama Baraka ni mtumiaji wa watu hawa kulingana na maelezo hayo ya Kaoge ukiyasoma kiundani, sasa Baraka kafunguka kupitia Radio moja jijini Dar kuwa Tayari ameshapeleka Ripoti juu ya Udharirishaji huo Aliofanyiwa na Kaoge katika mamlaka husika TCRA na anasubiri maamuzi yao.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY