YANGA KUWAKOSA WACHEZAJI WATATU MECHI DHIDI YA MEDEAMA, WAFAHAMU HAPA

YANGA KUWAKOSA WACHEZAJI WATATU MECHI DHIDI YA MEDEAMA, WAFAHAMU HAPA

0

Ikiwa timu ya Yanga tayari imeshafika nchini Ghana kwa ajili ya mechi ya Marudiano dhidi ya Medeama,Yanga itawakosa wachezaji hawa katika mechi hiyo ambao ni GEOFREY Mwashiuya na DEUS Kaseke ambao ni majeruhi na VICENT Bossou  ambaye anakadi mbili za Njano.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY