Loading...
YANGA NA MEDIAMA KURUDIANA SIKU HII

YANGA NA MEDIAMA KURUDIANA SIKU HII

0

Timu ya Yanga Imekwea pipa kwenda Ghana Leo Alfajiri kwa ajili ya mchezo wa marudiano na Timu ya Mediama ya nchini Ghana.

Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa siku ya Jumanne ya tarehe 26 mwezi wa saba 7, Mechi ya kwanza Yanga ilikubali sare ikiwa nyumbani Dar Es Salaam na inahitaji ushindi ili kujihakikishia nafasi mbili za juu.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY