ZIFAHAMU BAADHI YA SIRI ZILIZOVUJA KUHUSU iPhone 7

ZIFAHAMU BAADHI YA SIRI ZILIZOVUJA KUHUSU iPhone 7

0
Baadhi ya siri zilizotoboka kuhusu simu inayosubiriwa na Wengi ya iPhone 7,  Baadhi ya siri zimeanza kuvunja.
Moja kati ya vitu vilivyovuja ni Internal Storage ya iPhone 7 imevuja kuwa itakuwa na 32 GB, Mwanzo simu zote za iPhone zilikuwa na uwezo wa mwisho wa 16 GB kwenye Internal Storage.
Kitu kingine kilichovuja ni Head Jack (Kichomekeo cha HeadPhone) kimepunguzwa milimeter na sasa kitakuwa na 3.5 mm.
iPhone 7 imevuja kuwa itakuwa nyembamba zaidi, ikiongezewa uwezo wa kuzuia maji kuingia kwenye simu,  na pia inatarajiwa kuboreshwa zaidi upande wa Camera zote za mbele na nyuma.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY