Loading...
ZIFAHAMU NYIMBO TANO ANAZOZIKUBALI ZAIDI CHID BENZ

ZIFAHAMU NYIMBO TANO ANAZOZIKUBALI ZAIDI CHID BENZ

0

Chid Benz amefunguka kupitia kipindi cha The Playlist cha Times Fm chini ya mtangazaji Mbunifu Lil Ommy ngoma zake tano anazozikubali zaidi. ambazo ni Piga Makofi ya Professor Jay,Famous ya Juma Mchopanga “Jay Moe” , Hao ya Mwasiti, Yote Maisha ya Madee na Mboga saba ya Mr. Blue byser huku akitaja Dar Es Salaam Stand Up kama ndiyo wimbo wake bora zaidi aliowahi kuufanya

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY