ZIFAHAMU SABABU KUU ZILIZOFANYA BASATA WAFUNGIE WIMBO WA NAY WA MITEGO

ZIFAHAMU SABABU KUU ZILIZOFANYA BASATA WAFUNGIE WIMBO WA NAY WA MITEGO

0


Baraza la Sanaa Tanzania  kifupi BASATA, kupitia kwa msemaji wake bwana Kwizela akiongea kupitia kipindi cha Ubaoni cha Efm ameelezeza kuwa sababu kubwa zilizofanya  kufungia wimbo wa Nay Wa Mitego ” Pale Kati Patamu ” ni Maudhui ya Wimbo huo na ArtWork (Cover) ya wimbo huo ambayo ilikuwa ni ya Udhalilishaji.

Jana kupitia kipindi hiko alikuwepo msemaji wa BASATA na Msanii Nay Wa Mitego wote kwa pamoja wakiwa kwenye kipindi hiko kinachorushwa kuanzia mida ya saa kumi mpaka saa moja usiku.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY