Loading...
BARAKA DA PRINCE ATOA POVU KWA PRODUCER LOLLPOP

BARAKA DA PRINCE ATOA POVU KWA PRODUCER LOLLPOP

0


Baraka Da Prince amejikuta akitoa Povu kwa Producer Lollpop mara baada ya Producer huyo aliyetengeneza Siachani Nawe kusema aliandika wimbo huo.

Lollpop aliyaongea hayo kupitia kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm , ila Baadaye Baraka akiongea kupitia 255 alikataa kuwa wimbo huo haujaandikwa na LollPop ila LollPop alisaidia kurekebisha baadhi ya maneno ila sio kuandika kama Inavyodaiwa.

Lollpop alivyohujiwa tena kuhusu issue hii alisema yeye hana mengi zaidi ya kuongea ila ni vyema akaulizwa Producer NA Meneja wa zamani wa Baraka Mr. Kid bway ili aseme ukweli maana yeye ndiye anaweza kuusema ukweli.

Loading...

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY